Cas yapokea tena rufaa ya wanariadha wa Urusi
Bado sakata la Urusi kupigania wanariadha wake waliozuiwa tena na vyama vya michezo vya kimataifa kushiriki Olimpiki, baada ya kuruhusiwa na IOC, sasa nchi hiyo imekimbilia tena kwenye mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa kimichezo Cas.

