Robo fainali Dance100% kufanyika Agosti 13
Shindano la kusaka wakali wa vipaji vya kucheza maarufu kama Dance100% linaingia katika hatua ya robo fainali baada ya kupatikana kwa makundi 15 ambayo yalishinda katika usaili wa kwanza hadi usaili wa tatu.

