Kocha wa ngumi Uganda Dick Katende afariki Uzuni imewakumba wanafamilia ya mchezo wa ngumi nchini Uganda kufuatia taarifa ya kifo cha ghafla cha kocha wa zamani wa timu ya Taifa ya ngumi ya nchi hiyo, Dick Katende kilichotokea mapema leo. Read more about Kocha wa ngumi Uganda Dick Katende afariki