Raymond Msanii Raymond ameelezea furaha yake baada ya kufanya kazi na msanii wa hip hop Chid Benz, na kusema kuwa kwake ni bahati sana na heshima kubwa kwani msanii huyo ana uwezo mkubwa na ikiwa yeye bado ni msanii mchanga kwenye game. Read more about Raymond