Marekani yaipa Tanzania msaada.

Serikali ya Marekani kupitia shirika lake la Misaada ya Maendeleo USAID, imeipatia Tanzania msaada wa dola Milioni 407 zitakazotumika kwaajili ya kuendeleza sekta za Kilimo, Afya, Nishati ya Umeme, Elimu na Utawala Bora, katika kipindi cha miaka 5.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS