TANESCO kuangalia mifumo ya umeme mashuleni

Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Arusha Daudi Felix Ntibenda.

Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Arusha Daudi Felix Ntibenda amelitaka Shirika la umeme TANESCO, kufika shule za bweni, na kukagua mfumo uliotumika kuweka umeme na kuurekebisha ili kuondokana na tatizo la hitilafu ya umeme linalopelekea majanga ya moto.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS