Wakuu wa wilaya wapewa siku saba kuhakiki madawati
Serikali mkoani Mbeya imewaagiza wakuu wa wilaya zote kuhakikisha wanawasilisha fomu za taarifa za Utengenezaji na ugawaji wa madawati kwenye shule zote ndani ya siku saba lengo likiwa ni kupata uhakika wa utekelezaji wa Agizo la rais Dkt. Magufuli.

