Waandamanaji Harare watawanywa na Polisi

Baadhi ya Wanafunzi waliojitokeza katika maandamano yalivunjwa na Polisi Jijini Harare

Polisi nchini Zimbabawe wametumia gesi ya kutoa machozi na maji ya kuwasha kuyavunja maandamano ya kuipinga serikali katika mji mkuu, Harare.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS