Waziri Mkuu ataka wafugaji wakubwa kufuga kisasa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wafugaji wenye mifugo mingi nchini kujiweka tayari kwa ajili ya kuhamia kwenye maeneo yatakayotengwa na Serikali katika ranchi mbalimbali nchini ili waweze kufuga kisasa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS