Marekani yamrudisha mtuhumiwa mauaji ya Kimbari Leopald Munyakazi mmoja wa watuhumiwa mauaji ya Kimbari. Marekani imemrudisha nyumbani msomi mmoja wa Rwanda Leopold Munyakazi anayetuhumiwa kuwa mtu muhimu katika mauaji ya kimbari ya 1994. Read more about Marekani yamrudisha mtuhumiwa mauaji ya Kimbari