Mikakati iwekwe ili kilimo kilishe dunia - FAO
Shirika la Kilimo na Chakula Duniani FAO limesema kuwa kulisha idadi kubwa ya watu inayoongezeka duniani kunahitaji uboreshaji wa hali ya juu katika uzalishaji wa kilimo, mikakati na mbinu muafaka hususani barani Afrika.