Serikali yaweka mikakati ya kumlinda mtoto wa kike
Dkt Hamis Kigwangalla
Wakati Tanzania leo inaungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha siku ya mtoto wa kike, serikali imesema imeanza utekelezaji wa mikataba mbalimbali ya kumlinda mtoto hasa mtoto wa kike.