Sheikh DSM awaasa vijana kuwa na maadili mema
Vijana nchini Tanzania, wametakiwa kuwa na maadili mema na kufuata mIsingi ya dini zao pamoja na kufanya kazi kwa bidii na kuisaidia jamii inayowazunguka ili kuleta maendeleo chanya kwao na taifa kwa ujumla.