Waziri Mkuu ahamia Dodoma rasmi, awasili leo jioni PICHA: Maktaba. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasili Dodoma muda huu, akiongozana na mke wake na kupokelewa nyumbani kwake maeneo ya Mlimwa C, mjini humo. Read more about Waziri Mkuu ahamia Dodoma rasmi, awasili leo jioni