Mhe. Nape Nnauye
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye amesema serikali ipo makini na wale wote ambao wapo kwa ajili ya kukwamisha matumizi ya tiketi za Kielektroniki zitakazoanza kutumika kesho katika mechi ya Simba na Yanga, Uwanja wa Taifa