Mkanyagano waua 52 Ethopia Waziri Mkuu wa Ethiopia Hailemariam Desalegn. Waziri Mkuu wa Ethiopia Hailemariam Desalegn amewalaumu watu waliokuwa wakifanya fujo, kwa kusababisha mkanyagano katika jimbo la Oromiya, ambako amesema watu 52 wamefariki dunia. Read more about Mkanyagano waua 52 Ethopia