73% ya wanawake Tanzania hawatumii uzazi wa mpango
Ummy Mwalimu (Kulia) akizungumza na bi. Ulla Mullar (Kushoto)
Imeelezwa kuwa asilimia 73 ya wanawake nchini Tanzania hawatumii uzazi wa mpango, ikimaanisha kuwa ni asilimia 27 pekee ndiyo wanaoumia njia mbalimbali katika kudhibiti uzazi.