JUKECUF yawakemea baadhi ya viongozi wa siasa Jumuia ya wanawake wa Chama cha wananchi CUF (JUKECUF) wamewataka baadhi ya viongozi wa siasa nchini kuacha kuingilia mgogoro wa ndani wa chama hicho na kuwapa kibri waasi wa katiba ya chama hicho. Read more about JUKECUF yawakemea baadhi ya viongozi wa siasa