Kuokoka hakunizuii kufanya kazi ya sanaa - Dokii Dokii Muigizaji wa filamu na mwanamuziki nchini maarufu kwa jina la Dokii, amefunguka na kusema kuwa tangu alipo tangaza kuokoka amekuwa akikosa madili mengi sana kwenye tasnia ya filamu nchini. Read more about Kuokoka hakunizuii kufanya kazi ya sanaa - Dokii