Kipato cha wakulima nchini kuongezeka - Mwijage
Kipato cha wakulima nchini kinatarajiwa kuongezeka kupitia ukuaji wa sekta ya kilimo hasa baada ya makampuni makubwa ya uzalishaji mbolea duniani kuonesha nia ya kuja kuwekeza kwenye ujenzi wa viwanda vya kuzalisha mbolea hapa nchini.