Nauli za daladala kuanza kulipwa kielektroniki

Daladala zinazofanya safari zake jijini Mwanza

Serikali imesema kuwa kuanzia mwakani nauli zote za mabasi yanayotoa huduma za usafirishaji abiria mijini maarufu kama daladala zitakuwa zinalipwa na abiria kupewa risiti za mashine za kielektroniki

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS