Nchi za OPEC kupunguza uzalishaji wa mafuta

Mohammed Bin Saleh Al-Sada - Rais wa OPEC

Muungano wa nchi zionazozalisha mafuta kwa wingi duniani (OPEC) zimekubali kupunguza uzalishaji wa mafuta hatua ambayo ni mara ya kwanza katika kipindi cha miaka nane ili kuimarisha bei ya mafuta duniani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS