Watakaoshindwa kudhibiti machinga, kufukuzwa kazi

Mary Tesha - Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana

Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana mkoa wa Mwanza ametangaza kuwafuta kazi maafisa tarafa, watendaji wa kata na mitaa  watakao legalega  kuwadhibiti wafanya biashara ndogondogo machinga baada ya oparesheni inayoendelea.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS