Viingilio EATV AWARDS 2016 hivi hapa East Africa Television Ltd imeweka wazi viwango vya viingilio kwa ajili ya kushuhudia tukio kubwa na la kihistoria litakalosimamisha tasnia ya burudani nchini, la EATV AWARDS. Read more about Viingilio EATV AWARDS 2016 hivi hapa