Simba na Yanga zatoroka Dar 'kusaka ubani'
Simba SC inatarajiwa kwenda kuweka kambi Morogoro wiki hii huku watani wao Yanga wakiwa wamepanga kwenda Pemba wakati wowote kuanzia leo ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya michuano ya Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara mzunguko wa lala salama.

