Serikali yatangaza adhabu mpya kwa wala rushwa Angellah Kairuki - Waziri wa Utumishi na Utawala Bora Serikali imeeleza dhamira yake ya kuongeza adhabu kwa watu wanaobainika kuhusika na rushwa ili wawe wanalipa fidia ya hasara iliyojitokeza mbali na kutumikia kifungo. Read more about Serikali yatangaza adhabu mpya kwa wala rushwa