'Wanawake' hawashushi kiwango cha mchezaji: Madadi
Mkurugenzi wa ufundi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Salum Madadi amesema mchezaji wa mpira wa miguu kuwa katika mahusiano ya kimapenzi au kufanya starehe wakati wa mapumziko ya ligi, hakuathiri kiwango chake chake uchezaji kama inavyodaiwa.

