Vibatari vyatumika kufanyia upasuaji Kilosa
Kukosekana kwa Nishati ya umeme kwenye kituo cha afya katika kata ya Ulaya Wilayani Kilosa mkoani Morogoro, kumepelekea wananchi wa kata hiyo kukosa huduma muhimu za upasuaji hasa kwa mama wajazito wakati wa kujifungua hivyo kutumia vibatari

