Waliopenya EATV Awards kuanza kutajwa Jumanne
Kituo cha Habari cha East Africa Television (EATV) kuanzia kesho (Jumanne Nov 8) kitaanza kutangaza rasmi wasanii walioteuliwa kuwania tuzo za EATV AWARDS 2016 katika vipengelea mbalimbali ambavyo wasanii hao watachuana.