Vyama vitatu vya siasa vyafutiwa usajili Msajili wa Vyama vya Siasa - jaji Francis Mutungi Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania Jaji Francis Mutungi ametangaza kuvifutia usajili vyama vitatu baada ya kubainika kukiuka sheria ya usajili wa vyama. Read more about Vyama vitatu vya siasa vyafutiwa usajili