Mvua yasababisha maafa Ruvuma Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Dkt. Binilith Mahenge. Zaidi ya watu 40 hawana mahali pa kuishi mara baada ya mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali kuezua nyumba 32, ofisi ya kata na mahakama ya mwanzo katika kijiji cha Ruanda, Wilaya Mbinga Mkoani Ruvuma. Read more about Mvua yasababisha maafa Ruvuma