Hakeem 5 anapaswa kumuomba radhi Alikiba - Abby Msanii mkongwe wa muziki wa bongo fleva Abby Skills amemchana msanii mwezake Hakeem 5 kutuliza akili yake na arudi kwa Ally Kiba amuombe msamaha kwa kuwa Kiba hana tatizo na mtu. Read more about Hakeem 5 anapaswa kumuomba radhi Alikiba - Abby