Watumishi TAMISEMI watakiwa kupunguza matumizi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI George Simbachawene amewataka watumishi wa umma kuhakikisha wanafanya kazi kwa uadilifu na kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za utumishi wa umma, sambamba na kujiepusha na rushwa.