Country Boy ataja collabo anayoikubali zaidi Country Boy Rapa Country Boy amefunguka na kuitaja ngoma ya 'Hakuna matata' ambayo ameshirikiana na Bill Nas kuwa ndiyo 'kolabo' anayoikubali na kuilewa zaidi tangu ameanza kufanya muziki. Read more about Country Boy ataja collabo anayoikubali zaidi