Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli na Mhe. Recep Tayyip Erdogan Rais wa Jamhuri ya Uturuki wakifurahia jambo
Nchi za Tanzania na Uturuki leo zimetiliana saini mikataba tisa ya ushirikiano katika nyanja mbalimbali za kimaendeleo leo baada ya kuwasili kwa Rais wa Uturuki kwa ziara ya kikazi ya siku mbili nchini.