Kairuki naye atangaza safari yake ya Dodoma
Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi ya Umma na Utawala bora imehamia Makao Makuu ya nchi Jijini Dodoma ikiwa ni siku chache baada ya agizo lililotolewa na Ofisi ya Waziri Mkuu la kuzikumbushia wizara zote kuhamia mkoani humo ifikapo Februari 28.