CHADEMA Kanda ya Ziwa kukutana Mwanza
Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema wamefanikiwa kufanya ziara na mikutano ya ndani na kukutana na kata zote za Kanda ya Ziwa kwa ajili ya maandalizi ya mkutano mkuu wa chama hicho.