Madee avunja ukimya tuhuma za kupora simu Madee Msanii wa bongo fleva Madee amesema hajutii matusi yanayotukanwa kupitia mitandao ya kijamii kuwa amepora simu kwa kuwa wanaomtukana hawaujui ukweli na wakiujua watatulia. Read more about Madee avunja ukimya tuhuma za kupora simu