Wagonjwa 50,000 wa saratani hugundulika kila mwaka

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu

Takwimu zinaonesha kuwa kila mwaka duniani kote kunatokea wagonjwa wapya wa saratani wanaokadiriwa kufikia milioni 14.1, na kati ya hao zaidi ya wagonjwa milioni 8.2 hufariki dunia kutokana na ugonjwa wa saratani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS