Sina ukaribu na serikali - Prof. Lipumba

Prof. Ibrahim Lipumba

Mwenyekiti wa Chama cha wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amekanusha tuhuma za kuwa na ukaribu unaotia shaka kati yake na serikali na kutolea ufafanuzi ishu mbalimbali zinazoashiria ukaribu huo ikiwemo ya kuchepusha ruzuku ya chama.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS