Baraka amtaja mfalme wa hip hop Bongo

Baraka The Prince

Msanii Baraka The Prince amefunguka na kusema rapa Lord Eyes kutoka Weusi ambaye pia ni msanii aliye chini ya usimamizi wake ndiye mfalme wa hip hop Bongo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS