VIDEO: Vilio vyatawala nyumba 200 zikibomolewa
Vilio vimejiri katika maeneo ya Buguruni Jijin Dar es Salaam baada ya Shirika Hodhi la Rasilimali za Reli nchini Tanzania RAHCO kuendesha zoezi la bomoa bomoa kwa wananchi waliojenga nyumba zao ndani ya mita 15 kwa 30 kwenye hifadhi ya njia ya reli

