Rais Magufuli ateua mkuu mpya wa majeshi Jenerali Venance S. Mabeyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli, amemteua Luteni Jenerali Venance S. Mabeyo kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania. Read more about Rais Magufuli ateua mkuu mpya wa majeshi