Yanga yapania kuendeleza moto ligi kuu
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya soka Tanzania Bara Yanga leo wanashuka dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kupambana na Stand United ya Shinyanga huku akiahidi kufanya vizuri ili kuendelea kujiweka kileleni mwa ligi hiyo.