Ben Pol awaangukia mashabiki, aomba radhi
Msanii Ben Pol ambaye siku kadhaa zilizopita alikuwa mbogo kwa mtangazaji wa kipindi cha eNewz ya EATV, baada ya kuulizwa maswali kuhusu familia yake hususani mwanamke aliyezaa naye pamoja na mtoto, msanii huyo ameomba radhi kwa kitendo hicho.