VIDEO: Sikumbuki idadi ya mimba nilizotoa - Aunty
Msanii wa filamu nchi Tanzania Aunty Ezekiel amekiri kuwa katika maisha yake amewahi kutoa mimba na hakumbuki idadi ya mimba ambazo amewahi kuzitoa, huku akifichua siri kuwa amewahi kwenda kwa waganga kwa ajili ya kazi zake za sanaa.