VIDEO: Muziki una thamani kuliko mpenzi - Lulu
Msanii wa muziki wa bongo fleva Lulu Diva amefunguka na kusema kuwa muziki kwake una thamani kubwa kuliko hata mpenzi wake na kama ikitokea mpenzi wake akihitaji yeye kuacha muziki yupo tayari kuachana naye ili yeye aendele kufanya muziki.