Wizara ya Afya yafunguka kuhusu dawa kinga
Mganga Mkuu wa serikali Prof. Muhammad Bakar amekanusha juu ya dawa kinga zinazotolewa kwa wananchi na Wizara ya Afya kwa lengo la kuwakinga na magonjwa yasiyopewa kipaumbele kuwa zina madhara kama ambavyo imekuwa ikidaiwa na baadhi ya wananchi.