Magufuli atuma salamu kwa Nape na Bashe
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amemuagiza Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango afikishe salam zake kwa Mbunge Wabunge Nape Nnauye pamoja na Hussein Bashe kuwa anawahitaji wawekezaji binafsi kwenye ujenzi wa reli