Takukuru wamzungumzia Nyalandu Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imesema kuwa agizo la kuhusu kumchunguza aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu imelisikia na imeanza kulifanyia kazi. Read more about Takukuru wamzungumzia Nyalandu